Description
Ubani Dhikri ni aina ya ubani (uvumba) unaotumika maalum kwa ajili ya kuombea dua mbalimbali.
Matumizi yake:
Kuchoma: Huwashwa (kufushwa) asubuhi ili kuambatana na manuiuzi (nia) ya dua zako.
Muda: Inashauriwa kuchoma ubani huu kwa muda wa siku tatu mfululizo.
Katika mila za mafusho, ubani huu hutumika kusaidia kufanikisha maombi ya kiroho.





Reviews
There are no reviews yet.